Hakuna wakati ambao Ziwa Malawi halijawahi kuwa la Malawi. Dunia nzima inalitambua kama Ziwa Malawi na lipo nchini Malawi ni Tanzania pekee ambao tunalitambua kama ziwa Nyasa na ramani zetu zinaonyesha mpaka umepita katkati ya Ziwa.Mabeberu naona kama wanawashwa washwa, kupitia shirika lao la kibeberu, wametoa ramani inayoonyesha eti ziwa lote ni mali ya Malawi.
Hongera Wizara ya Elimu kwa kutoa muongozo. Tunasubiri Wizara ya Mambo ya nje ipeleke official complaint kwa hawa nyamaume.
Tanzania tuko sahihi, kwa mfano ziwa Nyasa likitanuka kwa kilomita 100, jamaa watasema hayo maji bado ni mpaka?Hakuna wakati ambao Ziwa Malawi halijawahi kuwa la Malawi. Dunia nzima inalitambua kama Ziwa Malawi na lipo nchini Malawi ni Tanzania pekee ambao tunalitambua kama ziwa Nyasa na ramani zetu zinaonyesha mpaka umepita katkati ya Ziwa.
Ingawa kwa logic , Tanzania ipo sahihi, haiwezekani mpaka wa ziwa uwe pale linapoishia ziwa.
Ziwa ni rasilimali inayopaswa kutumiwa na viumbe wote waliopo wote waliopo eneo lile haiwezekani wananchi wa Matema na Mbmba bay wakatazwe kutumia ziwa kwa madai eti ni la Malawi.
Mbona muongozo unapwaya? Hizo ramani ziko wapi? Walishindwa nini kuzi~annex?Mabeberu naona kama wanawashwa washwa, kupitia shirika lao la kibeberu, wametoa ramani inayoonyesha eti ziwa lote ni mali ya Malawi.
Hongera Wizara ya Elimu kwa kutoa muongozo. Tunasubiri Wizara ya Mambo ya nje ipeleke official complaint kwa hawa nyamaume.
Mwaka 2016 tulikuwa kwenye mkutano mmoja Ujerumani, presenter mmoja aliambiwa na KM tuliyeongozana naye kwenye hiyo session aondoe ramani ya Tanzania kwenye PPT kwa hofu kuwa ingezua gumzo kubwa kwakuwa ramani ile ilionyesha mpaka umepita katikati ya ziwa NyasaMabeberu naona kama wanawashwa washwa, kupitia shirika lao la kibeberu, wametoa ramani inayoonyesha eti ziwa lote ni mali ya Malawi.
Hongera Wizara ya Elimu kwa kutoa muongozo. Tunasubiri Wizara ya Mambo ya nje ipeleke official complaint kwa hawa nyamaume.
Hujaelewa kitu.Tanzania tuko sahihi, kwa mfano ziwa Nyasa likitanuka kwa kilomita 100, jamaa watasema hayo maji bado ni mpaka?