Ngengemkenilomolomo
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 270
- 450
Ni yule producer matata sana kutoka mwanza alie andika ngoma inayopendwa na wengi na kumpa baracka da prince afanye yake,nazungumzia siachani nawe,Goodluck gozbert a.k.a lollipop ametoa kichupa cha acha waambiane,kiukweli ngoma iko poa sana,kichupa kikali na ameitendea haki sana kwa upande wa masauti cpati picha kama hiyo siachani nawe angeimba mwenyewe ingekuaje mana yupo juu mbaya