Taarifa za Africa mashariki (itv), zilikuwa na habari isemayo Uganda imepandisha bei ya kuwaona Sokwe hadi kufikia $750 kwa watalii wa nje. Kuangalia picha naona ni gorilla na sio sokwe (chimpanzee)
Je gorilla nao ni sokwe au hatuna jina la kiswahili kwakuwa hatunao nchini?
Steven Wassira (Tyson)