Gospel singer Guardian Angel proposes to girlfriend

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Msanii maarufu wa nyimbo za Injili nchini Kenya Guardian Angel mwenye umri wa miaka 30, amemvalisha Pete ya uchumba mpenzi wake Esther Musila mwenye umri wa miaka 51,

Bi Esther Musila ni Mfanyakazi wa Umoja wa Mataifa UN wa kipindi kirefu

Esther Musila yupo kama Kijana tu, anafanya sana Mazoezi.

===============

Uyu Mwanamke bado ni Ni PISI KALI, tena mbegu nzur Sana uyu (HAZEEKI HARAKA).

Sina uhakika Kama aliwahi kupata mtoto apo kabla.
 
Sema ata me ningeoa tu hapo japo hatupati mtoto😪
 
Uyu mwanamke ukimtizama usoni anaonekana sio mtu wa stress kabisa.

Kwa umri wake
Angekua ndo Aina ile ya Wanawake walio-desperate sana na Ndoa.

Angedanganya ana miaka 31au 35 na usingebisha kabisa.
 
Uyu mwanamke ukimtizama usoni anaonekana sio mtu wa stress kabisa.

Kwa umri wake
Angekua ndo Aina ile ya Wanawake walio-desperate sana na Ndoa.

Angedanganya ana miaka 31au 35 na usingebisha kabisa.
Sasa WaKwetu Manzi Ana Hela ana kazi Nzuri, stress za Nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…