Gossip: Lulu

ok mi naomba kujua jina kamili,ana wazazi?je alikuwa anaishi nao?naona ameanza mambo mapema sana,mi ninajiuliza alipata wapi minguvu yote ya kumsukuma kanumba hadi aanguke,mi nataka kujua kama ana ndugu hata wakumuwekea mwanasheria?
 
Huyu mtoto ana balaa,sheria itachukua mkondo wake ili iwe fundisho kwa wengine.
 
Nyie mbona mazuzu ? mna uhakika kama kaua? inawezekana kuwa amesababisha kifo tena kwa sababu lukuki mojawapo inaweza kuwa self defence vipi nyie mna mhukumu moja kwa moja? Nakiri Lulu si miongoni mwa vijana wenye tabia mujarabu katika jamii lakini tusubiri facts ziwekwe wazi ndipo muhukumu!
 
Huyu dogo akae behind bar kwa muda jaman ili akitoka akili yake iwe sawa! atakuwa amekuwa ss. R.I.P THE GREAT!

hilo nalo neno shost kakae ndani kwanza nasi tupumue na skendo zake kha!!!!!!
 
Niliona post ya kapten komba na lulu, vipi mbona gafla siioni
 

Mkuu are you Mud???????

Ati Mahakama ndio yenye uwezo wa kuthibitisha???? how????

Huku unasema tena ati itategemea na ndugu wa marehemu na police? Khhaaaaa we hujui kuwa this is complete corruption yaaani familia ya marehemu ikakae na police kusuruhisha Homicide Case ulisha ona wapi hata kama tanzania tua police wenye ufinyo wa kufanya Homicide Investigation huwezi niambia ati wakakae wao ndio wawe Peace Maker kweny Murder Case

My Take;

Kama hayo ndio mawzo yako au na wengine wana waza hivyo utakuwa ni uupuuuzi wa hali ya juuuu a.k.a ulimbukeni


 
Watu mnakosa umakini na weledi katika mambo ya msingi..hata aje nani huyu binti hatoki ndani yaaani jtano anapandishwa kizimbani...anastahiki kunyongwa mpaka kufa..mwana huyu kalaanika na huo ndo mshahara wake..

jamani maneno makali
 

Sio kazi ya wana JF kumsamehe Lulu!
Na pia, kwani ameomba msamaha?
 
kaua tu...


Alaaa!!!

Au kwa sababu ni katoto kadogo na siyo Ditopile au Andrew Chenge? Hawa wawili waliua "in cold blood". Jamani tuwe na haya wakati mwingine. huyu binti hatujui hata kama ni kweli alimsukuma kwa kuwa statement imechukuliwa bila kuwa na mwanasheria au mlinzi wa amani - kwanza ni minor!!!

Kwani akina Ditopile na Chenge walifanya nini? Halafu wanapewa ulinzi kwenda kwenye tukio, wengine wakapewa hifadhi nyumbani kwa RPC. Aibu!!!

Tusishabikie sana macelebrity!

Nafikiri ingekuwa Dito alimpiga risasi Kanumba sijui kama hiyo kesi ingeshaisha leo - but that was just a useless daladala driver! - Is it?

Ingekuwa Chenge amemgonga Kanumba pangechimbika - but those were just useless ****** - is it?

FREE LULU IMMEDIATELY!!!!
 
Watu mnakosa umakini na weledi katika mambo ya msingi..hata aje nani huyu binti hatoki ndani yaaani jtano anapandishwa kizimbani...anastahiki kunyongwa mpaka kufa..mwana huyu kalaanika na huo ndo mshahara wake..
ndo yuko nje mkuu
 
Acha aende jela kule wazee wa kazi wakamfumue ili akirudi adabu ishike mkondo wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…