Gov. Sanford - The best Love Letters of the Decade

Babu Swahili

Member
Joined
Jan 8, 2009
Posts
41
Reaction score
6
This series of email letters were written between Gov. M. Sanford (South Calorina) and his Argentinian mistress.

Mr. Governor is such a smooth chatterer

Long but interestingly readable....

I think am very back in here! Hivi ilikuwaje akabambwa? alisahau password au ilikuwaje. But yuuuumy the content is so romantic lol. Maria I envy you lol
 
I think am very back in here! Hivi ilikuwaje akabambwa? alisahau password au ilikuwaje. But yuuuumy the content is so romantic lol. Maria I envy you lol

eeeh taratbu apo MJO, labda uprint kisha uwe unadesa taratibu wakati ukifika..lakini usisahau kuacknowledge chanzo! LOL!

mambo?
 
I think am very back in here! Hivi ilikuwaje akabambwa? alisahau password au ilikuwaje. But yuuuumy the content is so romantic lol. Maria I envy you lol

Alibambwa akiwa anashuka kutoka kwenye ndege Atlanta airport. Alidanganya kuwa anakwenda kwenye some moutains (nimesahau), kumbe amekwea ndege mpaka Argentina. Sasa katika kipindi chote alichoondoka, alikuwa hapatikani kwenye simu. Kumbe yuko kwa small housi Amerika ya kusini.

Unajua hii affair ilishashtukiwa na mke wake muda kidogo. Na yeye gavana mwenyewe akakiri kwa mkewe kuwa ana mapenzi mazito kwa Maria. Tena gavana akathubutu eti kumwomba mkewe amruhusu akamwone huyo small house huko Argentina. Nia yake ilikuwa aende akatafute closure ya hilo penzi, ili akirudi arudi fresh...tayari kuanza moja kurudisha penzi kwa mkewe. Lakini mkewe akamkatalia. Matokeo yake, mr. gavana akabidi atafute mbinu nyingine ya kuonana na small house.

Hapo chini ni statement mpya ya mkewe na gavana.

eeeh taratbu apo MJO, labda uprint kisha uwe unadesa taratibu wakati ukifika..lakini usisahau kuacknowledge chanzo! LOL!

mambo?

Lol eti nidese afu nitumie muda ukifika makubwa. Ntajaribu Kaizer

mambo salama mbona umepotea ka jasho la njiwa? mzima lakini?
 
Lol eti nidese afu nitumie muda ukifika makubwa. Ntajaribu Kaizer

mambo salama mbona umepotea ka jasho la njiwa? mzima lakini?

mi mzima, nilikuwa Argentina kidogo, vipi ww? shwari? (leo hapa jamvini sitaki kabisa kufungua kwenye siasa.....daaamn)
 
mi mzima, nilikuwa Argentina kidogo, vipi ww? shwari? (leo hapa jamvini sitaki kabisa kufungua kwenye siasa.....daaamn)

Kaizer, congrats kwa kwenda Argentina, kunaonekana kuna mambo mazuri huko...

Mi jamani nataka hii style ije bongo, politicians wa bongo wanatakiwa wa come out of the closet na hao vimada vyao, vinginevo yawe hivi, mtu awatoe kama hivi. Maaan!, I can't wait, serikali nzima itakuwa na ishuuuu!
 
Ndoa ya Governor ishakufa hiyo. Imebakia mizimu ya ndoa ndio inaishi.
 
mi mzima, nilikuwa Argentina kidogo, vipi ww? shwari? (leo hapa jamvini sitaki kabisa kufungua kwenye siasa.....daaamn)

Ah makubwa haya za Argentina? hajambo Anamarie? lol umeaga kwa wife lakini au nawe tusubiri mails zake live teh teh teh
 
Ebu usiniruke na wewe jamani.......lol!

Nsikuruke nini sasa? Huoni mwenzio gavana alivyokuwa anachombeza am sure kuna sweet words nyingine ambazo hata kwa mkewe hajawahi kutumia ila kwa Marieee mtoto wa kiagenjina lol.

Nyumba ndogo zinafaidi jamani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…