Tetesi: Government eyes on commercial banks....

Tetesi: Government eyes on commercial banks....

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Nimuda muwafaka serikali kuzichunguza nakuzifuwatilia banks zote za biashara ilikuliokoa taifa hili na kile kinaweza kujakutokea huko mbeleni......
Baada ya kuyauza baadhi ya mashirika yetu pia na bank zetu ni muda muwafaka serikali kutumia wataalam wake kuanzia kwenye mifumo ya computer na uhasibu kuangalia ni nini wawekezaji kwenye bank hiz wanafanya na ni kwa manufaa ya nani?
Kama taifa tusijifiiri tupo salama ikiwa serikali itakuwa na hisa chache ndani ya ma bank pasipokuwa na maamuzi. Nimuhimu kujuwa kwa kufanya hivyo wawekezaji waweza kuichezea serikali kila kukicha kama bank fulani hapa nchini.
Uhusika wa moja kwa moja kwa ma bank kukwapua ma bilion ya pesa za bot niukakasi mwingine unaitaka serikali kukaza sheria zake hasa liapokuja swala la kampun kufungua akaunti kwenye commercial banks kwaminajili yakupokea fund from gover tz.
Pia ushiriki wawakurugenzi wa mashirika ya serikali na mabank ktk kufanya biashara na pesa za serikali ni muhimu ukachunguzwa kupata njia salama Ku monitor akaunt za serikali kwenye tahasisi hiz.
Michezo michafu yakushusha interest ata kwa kupita bot margine jambo linaleta inflation kwenye taifa na zipo bank au bank imekuwa ikifanya hivyo ku won market lazima tuchunguz.
Ufunguaji wa hizi bank kama uyoga nalo hilo sio lakupigia makofi let ref Fbme na jinsi hali ilivyo sasa tukafanye hivyo kwa bank zote. Kuzichunguza banks na wawekezaji ndani ya hiz banks ni muhim sana kwa ustawi wa taifa.
Last Fx kupanda na kushuka nk.......
 
Back
Top Bottom