Government focuses on boosting SMEs

Mkuu Ericus Kimasha nashukuru kwa hili la DseTanzania kujiunga kwenye jukwaa, Je ni lini CMA wataanzisha soko dogo la mitaji kwa ajili ya SME's? Ni wazi kwamba sehemu kubwa ya uchumi wetu inaendeshwa na SME's, ila kikwazo kikuu ni upatikanaji na ukusanyaji wa mitaji nafuu. Naomba kuwasilisha!
 
Last edited by a moderator:
What is SMEs according to DSE?

cc Pasco
 
Last edited by a moderator:
''Even before the campaign, we have received applications from three firms seeking to raise capital through EGM…this shows that some have already started seeing the potential of accessing funds," Mr Marwa said''.

They are lucky they knew about this beforehand. I want to be the fourth applicant.


 
Kweli mkuu safi sana ! Sasa hawa Nomads ambao ndio advisors lists Yao tunapata wapi wakuu
 
DSE ni vema mkatoa definition ya SMEs maana SMEs ya UK inaweza kuwa kampuni kubwa sana hapa kwetu.


According to NBAA (Tanzania) SMEs (modified by Mtazamo) are;-

(1) Entities that are not publicly accountable or representing public interest,
(2) Entities including GBEs with less than 100 employees,
(3) Entities including GBEs with capital investment in non-current assets of
less than TShs.800,000,000.
 
Shida ni moja wale wale unawaona kwenye macro ndo wale wale utawaona kwenye SME's. Halafu utashangaa vigezo ni vile vile vinavyowekwa kwa wafanyabiashara wakubwa. Mimi nashangaa sana hasa kwenye taasisi za fedha wanajigamba kusema wao wanataka kuhudumia wafanyabiashara wadogo lakini masharti yao ni yale yale wanayoyatumia kuwahudumia wafanyabiashara wakubwa. Kiufupi ni kuwa sekta ya fedha na uwezeshaji inakosa innovation, wanataka mawazo yaliyopo hawafikirii kabisa mawazo mapya.
 

Sheria zetu bwana........

 
"There are about three million Micro, Small and Medium Enterprises in the country that employ over five million people".

Hizi takwimu Daily news wamezitoa wapi? Vilitumika vigezo gani kutofautisha hizo SMEs milioni tatu na wengine?

Pengine DseTanzania atatusaidia pengine hizi inputs zimetoka kwao.
 
Last edited by a moderator:

DSE does not have a definition of SMEs which is different from a common one defined or used by other bodies such as TRA, Banking sector, consultancy companies, etc. The only criteria when it comes to listing an SME on the EGM segment is that they should have an issued and paid-up capital of at least Tshs 200 million, with at least 50% of net assets situated within Tanzania.
 
Kweli mkuu safi sana ! Sasa hawa Nomads ambao ndio advisors lists Yao tunapata wapi wakuu

Ifuatayo ni orodha ya NOMADs (Licensed Nominated Advisors):
1. ARCH Financial & Investment Advisory Ltd (+25522732922396)
2. Enterprise Growth Market Advisors Ltd (+25522213590)
3. Exim Advisory Services Ltd (+25522213156)
4. TSL Investment Management Ltd (+255222112807).
 
Asante kwa hiyo list Nimeona kwenye news Kuwa walikuwa approved wapo 50 au hao ni representative wa haya makampuni manne - Home
 
Asante kwa hiyo list Nimeona kwenye news Kuwa walikuwa approved wapo 50 au hao ni representative wa haya makampuni manne - Home

Ni kweli, orodha tuliyoonesha ni "firms" ndizo zilizopewa leseni kama NOMADs, ambapo kati ya waajiriwa wao wapo representative ambao nao wanapaswa kuwa na wamefanya na kufaulu mtihani unaotolewa na mamlaka husika (CMSA).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…