Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Hii ya awamu ya tano wakisema hii karatasi ni nyekundu while wote tunaona ni nyeupe peeeee basi tunatakiwa tuseme kweli ni nyekundu otherwise wewe ni mharifu.kwa mukidha huo tuna machaguo mawili tu.either tuendelee kufa mmoja mmoja au tuseme hapanaDola huwa haijadiliani na waharifu ambao lengo lao ni kujinufaisha wao wenyewe ikikuhitaji haina huruma haiangalii kama mama yako mgonjwa, bibi yako anazikwa Leo au mtoto wako amefukuzwa ada au unadrip ya maji hospitalini hakuna huruma wanaokushangilia hugeuka kuwa wadandiaji wa mke wako Mimi. binafsi huwa nawapenda wakosoaji lakini si wakosoaji walioshinikizwa
Ni mtu "Pumbavu" tu anayeweza kutetea ugaidi wa kidola siyo!!? Ni mwiko kwa serikali kuwafanyia ugaidi watu wake eti ni kwa faida ya watu wema.Dola huwa haijadiliani na waharifu ambao lengo lao ni kujinufaisha wao wenyewe ikikuhitaji haina huruma haiangalii kama mama yako mgonjwa, bibi yako anazikwa Leo au mtoto wako amefukuzwa ada au unadrip ya maji hospitalini hakuna huruma wanaokushangilia hugeuka kuwa wadandiaji wa mke wako Mimi. binafsi huwa nawapenda wakosoaji lakini si wakosoaji walioshinikizwa
Buku 7 unayolipwa na polepole inakuzuzua mpaka unapost ujingaDola huwa haijadiliani na waharifu ambao lengo lao ni kujinufaisha wao wenyewe ikikuhitaji haina huruma haiangalii kama mama yako mgonjwa, bibi yako anazikwa Leo au mtoto wako amefukuzwa ada au unadrip ya maji hospitalini hakuna huruma wanaokushangilia hugeuka kuwa wadandiaji wa mke wako Mimi. binafsi huwa nawapenda wakosoaji lakini si wakosoaji walioshinikizwa
Kama hivi unavyofanya,Kuita wengine nguruwe si ndo kufuata sheria eee? any way mimi ni muathirika wa ile inaitwa lead by example,sasa kama rais mwenyewe hafati sheria kwa nini wengine tufuate?Fuateni sheria nyie nguruwe wa kizaramo
Ni mtu "Pumbavu" tu anayeweza kutetea ugaidi wa kidola siyo!!? Ni mwiko kwa serikali kuwafanyia ugaidi watu wake eti ni kwa faida ya watu wema.
Tatizo la nchi ni CCM kuwapa vyeo vikubwa watu wasio na maadili!!!
Dola huwa haijadiliani na waharifu ambao lengo lao ni kujinufaisha wao wenyewe ikikuhitaji haina huruma haiangalii kama mama yako mgonjwa, bibi yako anazikwa Leo au mtoto wako amefukuzwa ada au unadrip ya maji hospitalini hakuna huruma wanaokushangilia hugeuka kuwa wadandiaji wa mke wako Mimi. binafsi huwa nawapenda wakosoaji lakini si wakosoaji walioshinikizwa
Unashadadia ujinga! Unadhani Gaddaf, Saadam Hussein, Omar Al Bashir, Idd Amin Dada na watawala wengi wababe waliwahi kuwaza kuja kuishi maisha ya hofu na kufa vifo vya mateso kama vile walivyo wafanyia wapinzani wao!
Tukubali tu kuwa humble, tuwaongoze wananchi wenzetu kwa haki badala ya nguvu na vitisho, nk. Hii nchi ni ya kwetu sote, na siyo kikundi cha watu wachache.
Ni mtu "Pumbavu" tu anayeweza kutetea ugaidi wa kidola siyo!!? Ni mwiko kwa serikali kuwafanyia ugaidi watu wake eti ni kwa faida ya watu wema.
Tatizo la nchi ni CCM kuwapa vyeo vikubwa watu wasio na maadili!!!
Baada ya kujiunga ukapelekwa kozi miezi 3, ulivyoonekana unawazidi wenzio ukaletwa huku bila kujua darasani kwenu mlikuwa wapumbavu watupu. Yaani wewe ni Kipanga wa Wapumbavu.Dola huwa haijadiliani na waharifu ambao lengo lao ni kujinufaisha wao wenyewe ikikuhitaji haina huruma haiangalii kama mama yako mgonjwa, bibi yako anazikwa Leo au mtoto wako amefukuzwa ada au unadrip ya maji hospitalini hakuna huruma wanaokushangilia hugeuka kuwa wadandiaji wa mke wako Mimi. binafsi huwa nawapenda wakosoaji lakini si wakosoaji walioshinikizwa
THANK YOU SIRUnashadadia ujinga! Unadhani Gaddaf, Saadam Hussein, Omar Al Bashir, Idd Amin Dada na watawala wengi wababe waliwahi kuwaza kuja kuishi maisha ya hofu na kufa vifo vya mateso kama vile walivyo wafanyia wapinzani wao!