GOVERNMENT NOTICE OF No. 178 OF 12 JUNE, 2009

Naombeni msaada wa uchambuzi wa mwongozo huu je upo safi kabisa?View attachment 31815

Naona madenti wamezuiliwa kujihusisha na siasa. Serikali itamestukia kwamba wanafunzi wakiwa huru, sio tu wanaenda Chama tawala, bali pia wanaenda hata kwenye vyama vya upinzani. Kwa hiyo dawa ni kupiga marufuku siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…