Bosco Ntaganda
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 710
- 289
Ndugu zetu maofisa wa GPSA (Government Procurement Services Agency) kunani? Mbona taratibu za kutoa majina ya wazabuni zimechukua muda mrefu mno kipindi hiki?
Ama kuna wajanja wanachelewesha kwa sababu zao za kimaslahi?
Ama kuna wajanja wanachelewesha kwa sababu zao za kimaslahi?