Bosco Ntaganda
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 710
- 289
dogo mbona unalalamika? kwani lazima ufanye biashara na serikali tu? kamata fursa nyingine aisee, wewe una pesa ya kushindana na rostam?
acha mambo ya kijinga, hizo tenda wenzako walishapewa kitambo, watatoa majina wakati kazi zote wameshagawana, chezea bongo wewe. ng'ombe we!
Bosco, mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni!, Tangazo hili liko kwenye website ya GIPSA tangu tarehe 6/4/2014!.Ndugu zetu maofisa wa GPSA kunani? Mbona taratibu za kutoa majina ya wazabuni zimechukua muda mrefu mno kipindi hiki?
Ama kuna wajanja wanachelewesha kwa sababu zao za kimaslahi?