Government salary scale pgss 15-16 ni sawa na shilingi ngapi ????

Government salary scale pgss 15-16 ni sawa na shilingi ngapi ????

Joined
Jan 6, 2012
Posts
31
Reaction score
4
Wakubwa habarini,

Kwa heshima na taadhima naomba yeyote anayejua mshahara wa serikali PGSS 15-16 anifafanulie.
Pia kama mtu analipwa hiyo ngazi kuna incentive gani?
Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom