Mhandisi wa Umeme Member Joined Jan 6, 2012 Posts 31 Reaction score 4 May 11, 2012 #1 Wakubwa habarini, Kwa heshima na taadhima naomba yeyote anayejua mshahara wa serikali PGSS 15-16 anifafanulie. Pia kama mtu analipwa hiyo ngazi kuna incentive gani? Natanguliza shukrani.
Wakubwa habarini, Kwa heshima na taadhima naomba yeyote anayejua mshahara wa serikali PGSS 15-16 anifafanulie. Pia kama mtu analipwa hiyo ngazi kuna incentive gani? Natanguliza shukrani.
Mhandisi wa Umeme Member Joined Jan 6, 2012 Posts 31 Reaction score 4 May 11, 2012 Thread starter #2 nisaidieni waungwana, mbona kimya?
M mhondo JF-Expert Member Joined Apr 23, 2011 Posts 968 Reaction score 354 May 11, 2012 #3 Hawajaona wanaojua usikate tamaa.