Mwanzi1 JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 6,000 Reaction score 4,589 Mar 6, 2017 #41 kilam said: Picha ya 3 na 6 sio Tanzania, picha ya kwanza ni photoshop ingawa hata ingekuwa kweli hakuna ubaya. Acha kujifanya unaijua Tanzania wakati hujui lolote. Wewe endelea kula vumbi la Kajiado. Click to expand... Typical Kenyan's, hawana cha kwao wana photoshop vya wenzao. Smh
kilam said: Picha ya 3 na 6 sio Tanzania, picha ya kwanza ni photoshop ingawa hata ingekuwa kweli hakuna ubaya. Acha kujifanya unaijua Tanzania wakati hujui lolote. Wewe endelea kula vumbi la Kajiado. Click to expand... Typical Kenyan's, hawana cha kwao wana photoshop vya wenzao. Smh
Edward Wanjala JF-Expert Member Joined Nov 3, 2016 Posts 8,122 Reaction score 6,429 Mar 6, 2017 #42 Annael said: Sasa kama hujui kiswahili si uende ukaishi uingereza na uwe unaongea kingereza tu. Click to expand... Aaah! We weka taarifa za kiingereza na uache mambo mengi
Annael said: Sasa kama hujui kiswahili si uende ukaishi uingereza na uwe unaongea kingereza tu. Click to expand... Aaah! We weka taarifa za kiingereza na uache mambo mengi
Edward Wanjala JF-Expert Member Joined Nov 3, 2016 Posts 8,122 Reaction score 6,429 Mar 6, 2017 #43 Tabutupu said: View attachment 477188View attachment 477189 Click to expand... Vyema sasa hapo, hivi ndivyo ilivyokuwa ikimalizika, sahi??, enda hapohapo, hiyo picha ilipigiwa, piga nyingine uone tofauti
Tabutupu said: View attachment 477188View attachment 477189 Click to expand... Vyema sasa hapo, hivi ndivyo ilivyokuwa ikimalizika, sahi??, enda hapohapo, hiyo picha ilipigiwa, piga nyingine uone tofauti