Siyo true opposite --- atajitahidi sana first term ili achaguliwe tena???
Presidents spend they first term campaigning for the second term even kibaki did more during his second term than first termNdio maana mimi hutamani rais yeyote aongoze hatamu moja kwa kila awamu, just one term, that way he will give his all without a care about some re-election, but for two terms, his first term is always marred with attempts of trying to consolidate support of his political cronies.
Uuuiii!! Hii itakua showstopper nyingine, labda niwarahishie malazy kabla hamjaanza kutukana, ni kama ile flyover ambayo huwa mnaomba sana itendeke Bongo kutokea pale Usalama, Magomeni mpaka mjini itue pale kituo cha Fire au ipite hadi barabara ya Bibi Titi.
πππ...kua mpolena.kama imekuchoma we komaa nayo tu kidumedume na uache mihemko.hamna pakutokea hapa.mambo ya umeme tuko mbele yenu na isitoshe geothermal sisi ndio wababe hapa afrika.Usijitie hamnazo.nyinyi jengeni stations sisi twajenga barabara kwenda mbele alafu tuone kama hizo basi zenu zitabaki hapo stations milele kama hamna barabara za maana.mlipata kaflyover ubungo mkapiga kelele mwaka mzima humu ndani...acha tujiringe na barabara..nimoja ila niyetu sio yenu π π π π πSkiliza wewe, kabla hujadhamiria kuingia headshot kwenye vita chukua muda wako wote kumsoma mpinzani wako. Umepangawishwa na barabara moja! Tafadhali, ninakuomba uangalie barabara mpya zote mpya za tz, zilinganishe na za Kenya alafu linganisha na stations zetu za public buses. Ukimaliza, ninakuomba ukunywe maji, then relax. Juu I know you're not a man enough to get guts of coming to reply this post out of disappointment na kupigwa bare na butwaa. Ukicheki mastations, please usicompee ila stage iko besides gekomba, country bus station. Tz tunaelekea kungine, msitifananishe na vitu vya kipumbavu pumbavu. Fanyeni kitu commanding kama brt yetu, rufiji dam ndio mkuje kututroll. Si mngetaja hata geothermal plants msee, juu ii project ni authoritative n it deserves respect globally, sio upumbavu. No hard feelings, Sisi sio kama maneighbour wenu just at the horn ofπ¦
bridge pia sisi tunajenga uko dongo kundu. njoo na lingine..Hivi unajua bulldozer anaenda kujenga nn hapo magomeni, kinondoni hadi surrender bridge? Google, jiupdate alafu wachanue wenzako waipee tz respect, hatufai kufedheheshwa na project nzuri ila ndogo kama hio. Tupo level ya juu ya hio mliotuweka, just above you
Mbona hiki kiswahili chako ni cha Kikenya Kenya? Very bad swahili. Umeishi Kenya?Skiliza wewe, kabla hujadhamiria kuingia headshot kwenye vita chukua muda wako wote kumsoma mpinzani wako. Umepangawishwa na barabara moja! Tafadhali, ninakuomba uangalie barabara mpya zote mpya za tz, zilinganishe na za Kenya alafu linganisha na stations zetu za public buses. Ukimaliza, ninakuomba ukunywe maji, then relax. Juu I know you're not a man enough to get guts of coming to reply this post out of disappointment na kupigwa bare na butwaa. Ukicheki mastations, please usicompee ila stage iko besides gekomba, country bus station. Tz tunaelekea kungine, msitifananishe na vitu vya kipumbavu pumbavu. Fanyeni kitu commanding kama brt yetu, rufiji dam ndio mkuje kututroll. Si mngetaja hata geothermal plants msee, juu ii project ni authoritative n it deserves respect globally, sio upumbavu. No hard feelings, Sisi sio kama maneighbour wenu just at the horn ofπ¦
Hivi unajua bulldozer anaenda kujenga nn hapo magomeni, kinondoni hadi surrender bridge? Google, jiupdate alafu wachanue wenzako waipee tz respect, hatufai kufedheheshwa na project nzuri ila ndogo kama hio. Tupo level ya juu ya hio mliotuweka, just above you