Governor Kibwana ni msimple sana. This is how people should lead.

The governor huwa anaenda kwa kibanda kunywa breakfast every morning. I am sure he is the only governor in Kenya who does that. I am impressed by the servant leadership displayed by this wise leader.

Mungiki bado atampigia mungiki tu!
 
Kama ni mwanasiasa usimuamini mkuu...hao jamaa ndivyo walivyo wakiwa wanatafuta ugali..
Wanajifanya ni watu humble sana kumbe ni fisi tu kwenye ngozi ya kondoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungiki bado atampigia mungiki tu!
Acha kujiabisha. Umekurupuka wakati hata hujatizama hiyo video, ungekuwa umeitizama ungejua Gavana Kivutha Kibwana ni gavana wa County gani. Huyu ni gavana kutoka chama cha upinzani NASA, kwake ni Makueni County kule ukambani. Anajitahidi kweli kweli, kuletea watu wa kaunti yake maendeleo, amejenga viwanda, mabarabara ameboresha huduma msingi kwa watu wake. Anastahili kupongezwa.
 
Kama ni mwanasiasa usimuamini mkuu...hao jamaa ndivyo walivyo wakiwa wanatafuta ugali..
Wanajifanya ni watu humble sana kumbe ni fisi tu kwenye ngozi ya kondoo

Sent using Jamii Forums mobile app

Hehehe ila kuna kaukweli nikikumbuka zile pushup za huko kwenu na unywaji wa kikombe cha uji, ika huyu gavana ametajwa kama bora kati ya wote.
 
The governor huwa anaenda kwa kibanda kunywa breakfast every morning. I am sure he is the only governor in Kenya who does that. I am impressed by the servant leadership displayed by this wise leader.
Muwache unafik na kujitia hamnazo..Kura ni kwa Ruto, hana mpizani...Mpende msipende mahustler lazima wachukue awamu yao waibe kenya mpaka iishe kabisa😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…