Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
hiyo kawaida mkuu kila sehemu madalali wapo!watu wameshakula cha juu.....
mbona hawajaweka PIC za Dr (5nr) au hajafanya vizuri upande huu!
Afadhali maana siajabu ningegomea mshahara
Mi nilikuwa nangaja nione kama kutakuwa na noti ya 50,000/= na 100,000/= maana hii hali ya sasa ya kifedha inanipa mashaka miaka miwili ijayo