Governor wa Kenya ana nguvu kuzidi Rais?

Governor wa Kenya ana nguvu kuzidi Rais?

gearbox

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2024
Posts
563
Reaction score
1,768
Kwa system ya Kenya huwa naona mara nyingi governor akichallenge na rais, is the hovernor more powerful?

Mfano kinachoendelea sasa Governor wa Mombasa kapiga marufuku miraa lakini Rais Ruto karuhusu
 
Angalia kilichomtokea Mike Sonko Nairobi. Rais anaweza twa kaunti mfano Nairobi iliendeshwa na NMS chini ya Kenyatta.
 
Serikali za county wana zile roles zilizopewa kikatiba. Kwa mfano, serikali ya county ya Mombasa ina power ya kupatia maduka lesseni, hivyo inamaanisha wanaweza kuamuru maduka yote ya muguka yafungwe. Lakini power yao yaishia hapo. Hawewezi kumshtaki mtu anayesafirisha, kuuza au kutumia muguka, kwa maana muguka ni halali kwa sheria za inchi
 
Back
Top Bottom