Govt High School with HGE

Sumba-Wanga

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
5,353
Reaction score
1,234
Wanajamvi,

Msaada tutani!

Naomba kujua govt high school zenye HGE
 
Minaki sec,Kifaru sec,Karatu boys',Ihungo sec,..........
 
ndanda boys mtwara! Mwaka huu darasa lao wamefaulu wotee! Walikuwa 59 hv
 
Asante sana labda siku specify kwa makosa lakini za wasichana katika hizo ni vipi? Samahani!
 
Hivi Benjamini mkapa iko wapi? Ni ya wasichana?

Mwenge najua ni Singida?

Tambaza nako kuna HGE? wasichana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…