Tanzania haiachi kushangaza. Mawaziri na watendaji wetu wengi wa serikali ni mizigo mikubwa kabisa kwa Watanzania. Prof. Magembe anasema kuwa Tanzania inafikiria kuchuja maji ya bahari ili yatumike na Watanzania. Miradi kama hiyo inagharimu pesa nyingi sana kuliko kuweka bwawa Vidunda na kuyapeleka DSM na nadhani itakuwa ni afadhali vilevile kuchukua maji kutoka Rufiji kwa ajili ya DSM.