Hivi inakuwaje iwapo waasi wanaagiza silaha zikiwa camouflaged halafu zipitie bandari yetu ya DSM kama cargo nyingine yoyote inayoenda DRC au Rwanda na maeneo mengine? Ina maana serikali ya Tanzania italaumiwa kuwa inasaidia waasi wa nchi hizo? Anaepaswa kupiga sachi mizigo hiyo ni nani kama siyo TRA. TRA wana capacity ya kuugundua mzigo uliobebwa wa silaha? Srikali ya Tanzania inaonewa tu.
ushauri rejected,nimeona kama huku kuna vagi na sikuchagua ila nilishauri, sikujua kuchagua na kushauri yanafanana!!!
nimekuelewa, heshima kwako!!ushauri rejected,
serikali ina haki ya kutoshinikizwa kwa mambo ya kijinga
Hujajibu swali? tanzania ina kiwanda cha kutengeneza silaha mpaka iwauzie rebel?
Hivi inakuwaje iwapo waasi wanaagiza silaha zikiwa camouflaged halafu zipitie bandari yetu ya DSM kama cargo nyingine yoyote inayoenda DRC au Rwanda na maeneo mengine? Ina maana serikali ya Tanzania italaumiwa kuwa inasaidia waasi wa nchi hizo? Anaepaswa kupiga sachi mizigo hiyo ni nani kama siyo TRA. TRA wana capacity ya kuugundua mzigo uliobebwa wa silaha? Srikali ya Tanzania inaonewa tu.
afadhali kuheshimu serikali yangu kuliko kukuheshimu wewe ambaye huna mandate yeyote zaidi ya kuendeleza tumbo lako...endeleeni na kutukuza serikali kama mfalme wenu! serikali "imesema" basi wote mnakenua meno hamtaki hata kuhoji. Sijui mmerogwa na nani! hivi hamjui ni viongozi wenu wangapi ambao wamehusika na biashara hii haramu na kufaidika nayo? Endeleeni kuabudu katika hayo madhabahu peke yenu!
MkamaP,
Mkuu kuna report kubwa inayohusu Tanzania na support yetu ktk vita ya Rwanda na Congo.. Zile ndege za Kirusi wakati wa sangara zilikuwa na ushahidi tosha kabisa kuonyesha wazi kwamba silaha nyingi zilipitia Tanzania uwanja wa Mwanza, hivyo ni vizuri sana serikali yetu iwe makini kwani wakijaribu kulikuza hili linaweza kututokea puani.
Kama mnakumbuka JK alikataa na kupinga kabisa kwamba wananchi wa Mwanza hawali Mapanki, ikaja ile sinema ambayo ni documentary ikatuweka uchi wa nyama na sinema yenyewe ikapigwa marufuku isionyeshwe nchini..Tuwe makini sana tumapobishana na vyombo kaa hivi kwani huyo waziri sidhani kaa amefanya utafiti wake kuelewa kiundani kilichokuwa kikifanyika toka enzi za Mkapa...

UN wapumbavu

Hawa jamaa msiwa endekeze, ni wajanja sana wao wanchotuzidi ni plan na wito walio nao mbele ya mataifa yao.
Ni wataalamu wa kucheza maigizo sana , na maigizo yao ni ya long term, wanaanza kucheza kwanza na hisia za wahusika na kwakutumia media ili kuthibitisha matakwa yao. Hawa jamaa wanafurahi sana kama wewe unafurahi unapoona nyani kawekwa kati na mbwa wako.
Nafikri wameshaona potential fulani imebaki Tanzania, Nachofikiri wanachokiaandaa ni kuwa mwisho wa mwisho vizazi vya Rwada ,burundi na kongo wataona matatizo yao yameletwa na TZ na mwisho wa mwisho wanaungana wanatuvamia.
Hawa wapumbafu wameshaona Tz hakuna chokochoko rahisi ambalo linawezwa ku wa stimulate watanzania wakashikiana mapanga wenyewe kwa wenyewe. Sasa naona wanatafuta kumanipulate watu kama wanyarwanda .
tupigane vikumbo sisi kwa sisi CHADEMA,CCM,CUF.Lakini msiwape chansi hawa wapumbafu.
Hao hao ndio wamewachonganisha wahutu na watusi , wakati vita ya rwada inaanza huyo kagame si alikuwa mafunzoni MAREKANI kijeshi??
The new UN report suggests that Tanzania was one of at least 25 countries that provide support to FDRL rebels. The countries, which include the United States are reportedly part of an international network helping DRC rebels to buy arms and transfer money.