game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 10,727
- 24,840
Tatizo wewe unaishi na Kunenepa Tz na huijui Tz,
Wateja wa processed Unga Tz ni wachache, na wapo kwenye Major Towns only.
Most People they process Maize Locally na Kupata unga,
Hata Mimi huwa natumiwa mahindi toka kijijini na nikipeleka kwenye Mashine nakaa na unga Muda mrefu kwaiyo hizo bei sizijui na kwa sehemu kubwa Watz wanaishi hivi.
Hizo bei za 1800/- wanakumbana nazo urban Population ndogo Sana ya Tz,
Ndio maana husikii vilio.
Hatupangiwi na hatupimiwi Unga sisi,
Tunajipangia..