GPA huesabiwa mwaka wa ngapi wa chu?

GPA huesabiwa mwaka wa ngapi wa chu?

richy17

Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
57
Reaction score
4
Heshima kwenu wanajamvi!!!...Ningependa kufahamu huu mfumo wa GPA kwa level za degree hususani ile ya uhasibu huanza kuhesabiwa mwaka wa ngapi na kuwekwa kwenye cheti??..je huhesabiwa kwa miaka yote mitatu? au je ni mwaka wa pili na wa tatu tu? Au ni ule mwaka wa mwisho tu yani wa tatu?
 
Ni miaka yote. Then mwisho wa siku wanatafuta average, I guess.

Upo mwaka wa ngapi kijana? kaza buti kama unataka GPA nene
 
miaka yote

Yap, ni miaka yote. Kila Semester ina GPA, na kila Mwaka una GPA.Sasa, GPA zote huchukuliwa kwa miaka yote na kugawanywa kisha kupata hiyo AVERAGE ya "Grade Point Average"-GPA
 
kila mwaka una GPA yake na mwaka wa mwisho wanachukua avarage ya GPA ya miaka unayosoma
 
Back
Top Bottom