Heshima kwenu wanajamvi!!!...Ningependa kufahamu huu mfumo wa GPA kwa level za degree hususani ile ya uhasibu huanza kuhesabiwa mwaka wa ngapi na kuwekwa kwenye cheti??..je huhesabiwa kwa miaka yote mitatu? au je ni mwaka wa pili na wa tatu tu? Au ni ule mwaka wa mwisho tu yani wa tatu?