GPA huesabiwa mwaka wa ngapi wa chuo?

richy17

Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
57
Reaction score
4
Heshima kwenu wanajamvi!!!...Ningependa kufahamu huu mfumo wa GPA kwa level za degree hususani ile ya uhasibu huanza kuhesabiwa mwaka wa ngapi na kuwekwa kwenye cheti??..je huhesabiwa kwa miaka yote mitatu? au je ni mwaka wa pili na wa tatu tu? Au ni ule mwaka wa mwisho tu yani wa tatu?
 
Umeuliza vitu viwili tofauti,,Kila semister kuna gpa na kila mwisho wa mwaka wa masomo kuna gpa ya mwaka hiyo ndo itaonesha kama unafaa kuendelea na chuo au la kwa mujibu wa sheria za chuo husika.
Pili gpa ya kwenye cheti huwa inapatikan baada ya kupata majibu yako ya mtihani wa mwisho wa kumaliza chuo...
Tatu kama umepata sup kadhaa itatafutwa gpa yako then utapatiwa statement of results/provisional results......ukipiga sup ukafulu utapewa transcript....itategemea na sheria za chuo husika kupata cheti cha kuhitimu kama udsm unapata cheti mwaka mmoja baada yabkuhitimu elimu husika..
Karibu
 
miaka yote mitatu kila semister bt final year watatafuta average ya GPA zote mkuu!!
so pale kwenye cheti huwa inawekwa agregate ya performance ya miaka yote the GPA huwa ni ya mwaka wa tatu tu au na GPA pia ni ya miaka yoyote?..ufafanuzi kidogo mkuu!
 
Mkuu nilichotaka kujua ni GPA ya miaka yote huwa inawekwa kwenye cheti au ni ya baadhi ya mwaka mfano mwaka wa tatu tu?..na je kama ni ya mwaka wa tatu tu performance za miaka mingine huwa zinawekwa tu kwenye cheti pasipo kuhesabiwa gpa zake na kujumuishwa na zile za mwaka wa tatu?
 

Nachojua ni average tuu ndo inachukuliwa
Mfano;
1st year= 3.4
2nd year=4.1
3rd year =3.7
Therefore
GPA yako ={3.4+4.1+3.7}÷3 which is 3.7(upper second class)
 
Tafuta prospectus ya Chuo chako, wameeleza kila kitu, unless otherwise.
 

Nimekupatia maelezo ila unaonekana hutaki kuelewa....kila chuo kina utaratibu wake...kuna gpa ya semister, ya mwaka na final gpa. Final gpa inategemea na utaratibu wa chuo husika ndio maana ukaambiwa utafute prospectus ya chuo chako, kuna wanaoitafuta kwa kufanya average ya miaka yote, kuna wanaoitafuta kwa kuangalia total units unazotakiwa kuzi clear kwa miaka yote
 
Inategemea mfano bachelor of law udsm ni for 2nd,3rd and 4th year, law enforcement ni 2nd and 3rd year.
 
Haya mambo yanasikitisha sana kwa kwel siku watu hawataki kabisa kusoma yani wapo wapo tu hivi vitu vyote vimejibiwa kwenye prospectus ila kwa sababu hupendi soma basi ngojaa usaidiwe ila ni hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…