GPA SYSTEAMAa

msomaji J

Member
Joined
May 10, 2014
Posts
15
Reaction score
0
Inakuwaje TCU iwanawapa uhuru vyuo vikuu hapa nchini kujipangia kuwa PASS ianze na kuendelea? Mfano mahususi ni vyuo vya watu binafsi kama SAUTI,JOSIAH KIBIRA NA MAKUMIRA ambapo 'C' HUANZA NA 50 angali wakijua kuwa hawana resourse za kutosha kuhakikisha kuwa wanafunzi wanafikia alama hizo za ufaulu,kinachoonekana baadaye ni watu kukosa ajira maana GPA ni ndogo ukilinganisha na ya mwanafunzi wa UDSM ambapo WAO "c" huanza na 40 na akapata GPA nzuri tu.:bange: :bange:​
 

Nani amekuambia hawana resources za kutosha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…