GPA ya 3.0 as Data analyste kwenye ajira?

Melxcom991

Senior Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
101
Reaction score
115
Wakubwa nilikuwa naomba kujuzwa kwa mtu aliesomea Bachelor of science In Information System GPA inasoma 3.0 na anaujuzi wa data analytics.

Anauwezekano wa kupata Ajira in goverment or private sectors?
 
Kwani ukisema ni wewe dogo mwenye hiyo 3.0 GPA kuna shida..

Serikalini hata ukiwa na GPA ya 1.2 unaajiriwa wao wanaangalia interview na connection basi wewe hautaweza kuwa mwalimu wa chuo tu ila hata kuwa mkurugenzi wa taasisi unakuwa vizuri tu.

Hayo ya GPA ni huko chuo huku mtaani ni connection tu kwa kwenda mbele..
 
Kaka tunaishi kwa kusaidiana, mtu kaniuliza hili swali ni kashidwa kumjibu even alivyo nambia data analytics sijuw inahusu nini that why kuna jamii forums ipo kwa ajili ya kujuzana,
 
Shida moja naiona hapo, Data Analyst kibongo bongo ni aliyesoma data science so atashindwa kuithibitisha kwenye vyeti.
Lakini asikate tamaa ajaribu.
 
GPA sio issue kubwa kwenye private sector inategemea na mahitaji ya mwajiri na uwezo wako wa kuonyesha kuwa utaweza kukidhi, so CV, interview etc.
 
Back
Top Bottom