Melxcom991
Senior Member
- Aug 2, 2021
- 101
- 115
Kwani ukisema ni wewe dogo mwenye hiyo 3.0 GPA kuna shida..Wakubwa nilikuwa naomba kujuzwa kwa mtu aliesomea Bachelor of science In Information System GPA inasoma 3.0 na anaujuzi wa data analytics.
Anauwezekano wa kupata Ajira in goverment or private sectors?
Kaka tunaishi kwa kusaidiana, mtu kaniuliza hili swali ni kashidwa kumjibu even alivyo nambia data analytics sijuw inahusu nini that why kuna jamii forums ipo kwa ajili ya kujuzana,Kwani ukisema ni wewe dogo mwenye hiyo 3.0 GPA kuna shida..
Serikalini hata ukiwa na GPA ya 1.2 unaajiriwa wao wanaangalia interview na connection basi wewe hautaweza kuwa mwalimu wa chuo tu ila hata kuwa mkurugenzi wa taasisi unakuwa vizuri tu.
Hayo ya GPA ni huko chuo huku mtaani ni connection tu kwa kwenda mbele..