The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,249
kwenye RED ndilo jibusorry wadau,

Hivi katika hali ya kawaida,gpa huwa inaongezeka kadri miaka ya kusoma inavyosogea au inapungua kutokana na labda ugumu wa course kadri miaka inavyosogea au inategemea na mtu au course inayochukuliwa?

Tusaidien kutatua utata huu,make watu wanabishana hapa hadi mishipa imewatoka shingoni!
Sangara.hakuna uhusiano wowote wa mwaka wa masomo kwenye GPA.
Jitihada zako tu ndio zitakutoa.[/QUOTE said:

hapa nilimaanisha kwamba,course za year1 sio comparable to those of year 2,3,4 nk interms of toughness

GPA is an abbreviation of Grades point Average. Every college or university has its GPA but there are those universal known by TCU. Raising or falling of an Individual's GPA depends on your efforts. sometimes the course can be tough making it fall, or you may be unwell or you did badly in your course work and exams it can fall. but generally it depends on you. Thank you

hii kitu inaweza apply side zote, kozi za 1yr zinaweza kuwa ngumu kwa sababu mwanafunzi anakuwa katika kipindi cha mpito i.e kutoka sec to university inawezakana bado anaweza kuwa hajui hasa shule ya university iko vp.

hapa nilimaanisha kwamba,course za year1 sio comparable to those of year 2,3,4 nk interms of toughness

hii kitu inaweza apply side zote, kozi za 1yr zinaweza kuwa ngumu kwa sababu mwanafunzi anakuwa katika kipindi cha mpito i.e kutoka sec to university inawezakana bado anaweza kuwa hajui hasa shule ya university iko vp.

Na pia mtu anaweza relax sana miaka iliyobaki akapata GPA ya hovyo sana na pia mtu anaweza kuboresha GPA mwaka wa 2 onwards kwa sababu ya kujua namna ya kutafuta materials on line, kuandika kazi na kutumia library!!!! lakini kimsingi GPA INAHITAJI SANA EFFORTS ZA MWANAFUNZI KUANZIA 1YR 4YR.
VERY SIMPLE=TOTAL POINTS GAWANYA TOTAL UNITS check out total points zinapatikana kwa A,B+,B- NA C UNAZOPATA. KWA KOZI ZENYE UNIT 3 A=15 POINTS,B+=12,B-=9 NA C=6. THANX.

taking UDSM as an example,plz help us to know how is OVERALL gpa calculated,thank you!

Suala la ufaulu GPA., linategemea na juhudi zako mtu binafsi, pia ugumu wa course, na mwalimu anayekufundisha.

taking UDSM as an example,plz help us to know how is OVERALL gpa calculated,thank you!
mwaka huleta miaka then fanya accumulation ya points then gawanya kwa units ni rahisi sana!!!

nimesema overall sio gpa ya mwaka wa masomo mkuu!