Wana Jamvi naomba mnisaidie mwenye kujua zinakopatikana GPS machine ambazo sio complicated.Nahitaji pia bei.
Nataka zinazoonyesha,latitude,longtude na elavation.
Garmin GPS MAP 76 ni nzuri. Sijaju bei kwa mpya, may around USD 350 paoja na accessories, nina moja used (kama 6 months) kama utakuwa interested tuwasiliane