INAUZWA GPS trackers za Vyombo vya moto, TV, Computer, n.k. Zinauzwa

INAUZWA GPS trackers za Vyombo vya moto, TV, Computer, n.k. Zinauzwa

JituMirabaMinne

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2020
Posts
3,381
Reaction score
9,744
Ninazo GPS za aina mbalimbali kwa ajili ya vyombo vya moto, TV, Computer, n.k..

Zina sifa zifuatazo.

1. Ina uwezo wa kuzima chombo kwa kutumia simu yako.

2. Ina Live location na live tracking.

3. Unaweza kuset fence chombo chako kikiingia au kutoka eneo fulani upate taarifa.

4. Inahifandhi taarifa zote za mizunguko ya chombo kwa miezi 6 iliyopita.

5. Inaonesha chombo chako cha moto kikiwashwa au kuzimwa.

6. Ina overspeed alarm, dereva akizidisha speed.

7. Ina shock alarm, kama dereva anaendesha rafu.

8. Inaonesha Mileage, Travel na Parking reports.

9. Inatumia line ya simu.

10. Ni nzuri sana kama unamanage vyombo vingi vya moto. Vyote utaviona kwenye ramani moja kwenye simu yako.

11. Haina malipo ya kila mwezi au kila mwaka.

Bei ya kuuza 75,000 tu. No discount. Mzigo upo wa kutosha.

Kama unataka kufungiwa nipigie tudiscuss gharama.

Nipigie 0621 221 606, Nipo Dar.
 
Mzigo upo wa kutosha.... Hii ni aina mojawapo zipo za aina nyingi.
LMC_20220822_111430623_8.4.300.NIGHT.jpg
 
Ninazo GPS za aina mbalimbali kwa ajili ya vyombo vya moto, TV, Computer, n.k..

Zina sifa zifuatazo.

1. Ina uwezo wa kuzima chombo kwa kutumia simu yako.

2. Ina Live location na live tracking.

3. Unaweza kuset fence chombo chako kikiingia au kutoka eneo fulani upate taarifa.

4. Inahifandhi taarifa zote za mizunguko ya chombo kwa miezi 6 iliyopita.

5. Inaonesha chombo chako cha moto kikiwashwa au kuzimwa.

6. Ina overspeed alarm, dereva akizidisha speed.

7. Ina shock alarm, kama dereva anaendesha rafu.

8. Inaonesha Mileage, Travel na Parking reports.

9. Inatumia line ya simu.

10. Ni nzuri sana kama unamanage vyombo vingi vya moto. Vyote utaviona kwenye ramani moja kwenye simu yako.

11. Haina malipo ya kila mwezi au kila mwaka.

Bei ya kuuza 75,000 tu. No discount. Mzigo upo wa kutosha.

Kama unataka kufungiwa nipigie tudiscuss gharama.

Nipigie 0621 221 606, Nipo Dar.
Ninayo ila haitumii line na cjajua Application yake
 
Ivi hizo GPS zinakaa wapi
Inategemea inafungwa kwenye nini.

Kwenye magari inaweza kufungwa kawaida au ikawa built kwenye componets za umeme kama radio au Control units [Zipo nyingi]. Na hii ndio njia tunarecommend hata ikitokea mtu kakata gari spea baada ya kuiba bado kunaweza kuwa na chance ya kupata wezi wako.

Lakini pia hilo litategemea na uelewa wa mtu mwenyewe aliyeiba hilo gari. Zipo njia nyingi za ufungaji na operation za GPS.

So inategea na mtu anayefunga
 
swali kwa pc tuseme imeibiwa ukiwa umefunga tyr location yake tunaiona tu kwenye eneo au mpka kabatini. nina maana kuwa mfano sasa ndo imechukuliwa saizi hapa na nimeona iko ilala airport hiyo track itanisaidi aje mpaka niweze kuiona karibu kabisa ..
 
Itakuonesha hiyo PC iko wapi, Utaona kwenye ramani nyumba iliyopo hiyo PC yako.

Suala la kuiona iko kabatini ni gumu.

Ila kwenye suala la kufanya upekuzi kwenye nyumba husika inawezekana kudetect hiyo pc iko wapi, hata kama imefukiwa chini.[Hapa kuna special device ambayo inatumika].
 
Moja kati ya best feature kwenye hizi GPS trackers nilizonazo ni Mileage report.

Hii inakuonesha Daily gari yako imetembea km ngapi?

Kwa wenye gari za biashara ambao wamekabidhi watu hii ni moja kati ya feature muhimu sana.

Ukishamkabidhi mtu chombo anaweza asijali muda wa service ukifika akaamua tu kuendelea kutumia.

Ukiwa na taarifa kama hizi inakuwa ni rahisi kumbana mkafanya service kwa wakati.
 
Attachments

  • Screenshot_2022-09-02-11-19-31-686_com.sinotrack.jpg
    Screenshot_2022-09-02-11-19-31-686_com.sinotrack.jpg
    91.9 KB · Views: 57
Naweza kuiweka kwenye mkoba wa mke wangu nikajua anaelekea wapi kila wakati bila yeye kujua?

Hizo mimi sina mkuu.

Japo ninakochukua zipo.

Mfano kuna moja ndio kadogo kweli halafu kanalast charge for 10 days.

Na kana accuracy ya juu plus mic such that unaweza kusikia mpaka sauti.
 
Attachments

  • 1662123924733.png
    1662123924733.png
    42.2 KB · Views: 59
Back
Top Bottom