Gpsa: Bila hongo jina la kampuni yako halitoki kwenye list

Watu

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2008
Posts
3,231
Reaction score
1,471
angalia kama jina la kampuni yako limetoka

LIST OF SUPPLIERS/SERVICE PROVIDERS

kama kampuni yako haikutoa kitu kidgo ndio hivyo tena huna nafasi ya kufanya biashara na serikali hadi mwakani ujaribu tena, makampuni mengi ni ya wahindi, wazalendo wamepigwa chini!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…