Kanyafu Nkanwa
JF-Expert Member
- Jul 8, 2010
- 850
- 103
Unajua kiingereza?! Lugha baba, mmalawi au mzambia hata kama ameishia la pili ila kama anatema yai anakuwa bosi wako wewe na degree yako ya mlimani/jalalani.This Hotel for three years or so, is under the management of a foreigner, though is locally owned by a Tanzanian.
Ni kweli hakuna mtanzania anaweza kuwa manager hapa? Tunalalamikia kazi hakuna, ni kweli hatuna mtanzania anaweza endesha hotel hii ya kiwango cha chini hivi?
Authorities kazi kwenu. Uhamiaji. Kuna tatizo hapa mkoani Mbeya maagizo ya mh Rais hayafuatwi.
This Hotel for three years or so, is under the management of a foreigner, though is locally owned by a Tanzanian.
Ni kweli hakuna mtanzania anaweza kuwa manager hapa? Tunalalamikia kazi hakuna, ni kweli hatuna mtanzania anaweza endesha hotel hii ya kiwango cha chini hivi?
Authorities kazi kwenu. Uhamiaji. Kuna tatizo hapa mkoani Mbeya maagizo ya mh Rais hayafuatwi.
Unaiaibisha bodi (NBAA) maana wanaoandaa hesabu ni wahasibu ambao wanaotambulika na bodi mkuuKuna kundi la wahasibu,usiombe hawa wabongo asee wakuandalie hesabu,ipo siku TRA watakudai kodi kama ile ya ACCACIA. Wao wanatazama fedha tu,ila ubora wa kazi hakuna ni ujanja ujanja wanamalizana na TRA vitu vikisanuka kama hawajui.
Sent using Jamii Forums mobile app
wafanyabiashara wengi wa kibongo wakiona muhasibu mbongo mwenzao wanaombaga watengenezewe hesabu magumashi .....mhasibu akiwa strict wanamkimbia.. shida hesabu zikibuma huko tra ndo wanaanza kulilia wahasibu wakati na wao waliyataka...Unaiaibisha bodi (NBAA) maana wanaoandaa hesabu ni wahasibu ambao wanaotambulika na bodi mkuu
Tunalitafuna wote we mbwa
Tunalitafuna wote we mbwa
Muhasibu akiandaa hesabu anatoa triplicate copy...moja inaenda TRA, nyingine kwa mteja na yeye anabakiwa nayo moja...au siku hizi utaratibu uko vipi.....na yeye hawezi peleka hesabu za magumashi TRA...wafanyabiashara wengi wa kibongo wakiona muhasibu mbongo mwenzao wanaombaga watengenezewe hesabu magumashi .....mhasibu akiwa strict wanamkimbia.. shida hesabu zikibuma huko tra ndo wanaanza kulilia wahasibu wakati na wao waliyataka...
Msalimie Sana Sammy,he is gud guy,very friendly...Manager wa pale ni mkenya,ni rafiki yangu na alikuwa boss wangu pale landmark tukuyu, (hotel manager,) anaitwa "S" Amefanya kazi sehemu nyingi hapa Tanzania ikiwepo Regency kule mikocheni, akafanya corridor spring hotel arusha,(Kama sales and marketing manager) hotel zilikuwa zinajaa Sana sijui anapataje wageni ila alikuwa na mzungu mmoja kwenye hizo hotel akiwa sales Yule mzee ni marehemu.
Alifanya kazi briefly grand villa, baadaye kuna trainee alikuja field pale land mark bonge akawa anamla. Alipomaliza field akaondoka.
Either mjombaake au ami yake akawa anataka kufungua lle hotel, fatma huyo bonge akamwaambia amlete that guy.
Yule manager amefungua ile hotel na kuifikisha pale ilupo. So many offers zimekuja hata Mimi Mara kadhaa nimempa michongo amekataa. He deserves that position, najua unakitu kingine just tell us what it is tukusaidie. He is a short black guy anavaa miwani.