Pre GE2025 Grace Shiyo: CCM hakuna uhuru wa kutoa maoni, wanadumisha fikra za Mwenyekiti

Pre GE2025 Grace Shiyo: CCM hakuna uhuru wa kutoa maoni, wanadumisha fikra za Mwenyekiti

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

the guardian 17

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
395
Reaction score
570
Katibu wa Chadema Kanda ya Nyasa, Grace Shiyo amesema CCM hakuna uhuru wa kutoa mawazo, bali mawazo ya Mwenyekiti ndiyo yanasikilizwa.


"Kwa ufupi CCM hakuna uhuru wa maoni, CCM siku zote wanatembea kwamba zidumu fikra za mwenyekiti. Kwahyo unapokuwa na kira tofauti na Mwnenyekiti unakuwa umekosea" -Grace Shiyo

Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
 
Ukweli kabisa,mfano yule malisa wa Arusha juzi kati,aliongea jambo linaloogopwa kutamkwa na maccm wengine.Akafukuzwa kabisa 😃😃
 
Kama uwezo wa mwenyekiti ni mdogo ni mwendo wa kupuyanga tu. Na kinyume chake.
 
😂😂😂😆😆😁 ndio anajua leo?!
 
Back
Top Bottom