Grade mpya za a-level

Grade mpya za a-level

Joined
Jan 27, 2013
Posts
18
Reaction score
3
Jamani wasomi wenzangu naomba mnisaidie nasikia kuwa marks za A-level zimepandishwa na sina uhakika kama ni kweli.Grade zenyewe ni hizi hapa:
0-39=F
40-44=S
45-54=E
55-64=D
65-74=C
75-79=B
80-100=A
 
acha kuokoteza habar wewe...
Kwa akili yako unadhan hizo grades zinawezekana?
 
kama hizi bado watu wanalalamika kweli nchi yetu bado sana wenzetu Uganda s=50 na kwa o level chini ya 50 ni F
 
Yaani navyoijua A level ilivyo hata kama mtu afanye mtihani akiwa uchi ni vigumu kupata "A" kwa grade hizo kwenye masomo ya PCM,PCB,PGM,CBG.
 
tunaongeza jitihada za kuuza feki na kuongeza gharama za feki aisee...
 
Yaani navyoijua A level ilivyo hata kama mtu afanye mtihani akiwa uchi ni vigumu kupata "A" kwa grade hizo kwenye masomo ya PCM,PCB,PGM,CBG.

Umeona ee.Hapo majority watapiga F flat isipokuwa gifted students tu ambao kwa sasa ni wachache sana.Elimu ya bongo vituko kwa kweli.
 
kama hizi bado watu wanalalamika kweli nchi yetu bado sana wenzetu Uganda s=50 na kwa o level chini ya 50 ni F

Elimu ya uganda ni nyepesi sana ndo maana wabongo wengi wenye pesa wanakimbilia kule,huwezi linganisha na ile ya A-level ya bongo.
 
Wewe umeongea point, niliwahi kufanya kazi kwenye institute moja kule Bukoba nikapewa kazi ya kuhakiki vyeti miongoni mwao ni vya Uganda ndio nikagundua jamaa ni weupe sana labda lugha ndio wanatuzidi.
 
SORRY , naweza nikajua elimu ya uganda ikoje, this is new kwangu mkuu, nijuze
 
Back
Top Bottom