Daniel Nicholaus
Member
- Jan 27, 2013
- 18
- 3
Jamani wasomi wenzangu naomba mnisaidie nasikia kuwa marks za A-level zimepandishwa na sina uhakika kama ni kweli.Grade zenyewe ni hizi hapa:
0-39=F
40-44=S
45-54=E
55-64=D
65-74=C
75-79=B
80-100=A
Hata ukiziangalia tu,ni za uongo.Eti B=75-79 ha ha ha ha ha!
Hata ukiziangalia tu,ni za uongo.Eti B=75-79 ha ha ha ha ha!
mimi nasoma Benjamini na tumeandikiwa na walimu wetu ubaoni
Yaani navyoijua A level ilivyo hata kama mtu afanye mtihani akiwa uchi ni vigumu kupata "A" kwa grade hizo kwenye masomo ya PCM,PCB,PGM,CBG.
Yaani navyoijua A level ilivyo hata kama mtu afanye mtihani akiwa uchi ni vigumu kupata "A" kwa grade hizo kwenye masomo ya PCM,PCB,PGM,CBG.
kama hizi bado watu wanalalamika kweli nchi yetu bado sana wenzetu Uganda s=50 na kwa o level chini ya 50 ni F
Hata ukiziangalia tu,ni za uongo.Eti B=75-79 ha ha ha ha ha!
Elimu ya uganda ni nyepesi sana ndo maana wabongo wengi wenye pesa wanakimbilia kule,huwezi linganisha na ile ya A-level ya bongo.
hata huyo mwl wako kazitolea facebook
Umelishwa tango mwitu wewe....
Yaani navyoijua A level ilivyo hata kama mtu afanye mtihani akiwa uchi ni vigumu kupata "A" kwa grade hizo kwenye masomo ya PCM,PCB,PGM,CBG.
acha kuokoteza habar wewe...
Kwa akili yako unadhan hizo grades zinawezekana?
Wewe umeongea point, niliwahi kufanya kazi kwenye institute moja kule Bukoba nikapewa kazi ya kuhakiki vyeti miongoni mwao ni vya Uganda ndio nikagundua jamaa ni weupe sana labda lugha ndio wanatuzidi.
hata huyo mwl wako kazitolea facebook