Kuna kitu nashndwaga kukielewa nimeitimu veta Udereva, Nina leseni , cheti cha form iv lakn nakutana na ichi kitu kwny matangazo ya ajira GRADE TEST GRADE I& II& III hii ikoje? Ni kozi gn? Inatolewa mda gn?
TRADE TEST GRADES ni mfumo uliokuwa unatumika kwenye kozi za ufundi magari mara nyingi mwaka wa pili ilikuwa unafanya mtihani wa grade III mwaka wa tatu grade II vyuo vingi vinaishia grade II