KYALUMUKUNZA
Senior Member
- Aug 19, 2012
- 145
- 28
:israel: Kwa wale wenye shauku kubwa ya kutaka kujua umepangiwa daraja la ngapi na bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa mwaka kwanza udsm yaani 2012/13 angalieni mwisho wa matokeo yenu ya o-level kulia mtaona alama A,B,C,D......
ikimaanisha ni asilimia ya kiwango cha mkopo utakacholipiwa na bodi ya mikopo kazi kwenu kuperuziii.

mperungu upo wapi udsm,law haya kapige msuli usije luwa kichwakama ni kweli mbona nitaowaaa
kweli majinga yapo udsm ya sasa
Mbona wenye masomo saba hakuna ki2
watu hawataki kuelewa ile siyo grade bali ni mwanzo wakuandika somo jingine. mfano angalia wote mnaosema mna grade B kama mna matokea ya basic mathematics