Sule the don
Member
- Jul 28, 2013
- 52
- 2
Kati ya hizo ipi soko lake la ajira lipo juu na maslahi yake yako aje? na ipi inafaa kuisoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kati ya hizo ipi soko lake la ajira lipo juu na maslahi yake yako aje? na ipi inafaa kuisoma
hakuna chuo wanafundisha excavator au grader pekee bali wanafundisha kitu kinaitwa heavy equipment operator ambapo zimegawanyika sehemu mbili kuna lifting na construction ukisoma lifting utasoma folklift na crane ukisoma construction utasoma excavator grader bull doser, roller lakini vyuo hivyo havipo hapa nchini