Grading system

Wizuuuuu

Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
6
Reaction score
1
Enyi wadau wa Elimu haya Madodoso ya Kuchangia mawazo ya Grades kwa O-level na A-level manayaelewa?,What is the problem in Tananian Education?is it the Grading system or what else could be the Problem?
 
........searching.......
..........loading.........
...... please wait......
...no results found...
 
Enyi wadau wa Elimu haya Madodoso ya Kuchangia mawazo ya Grades kwa O-level na A-level manayaelewa?,What is the problem in Tananian Education?is it the Grading system or what else could be the Problem?
Mkuu wengine hatujayaona hayo madodoso, kwa nini usituwekee humu ili tuchangie kikamilifu?
 
Wakuu nimetembelea tovuti ya Wizara ya Elimu na kukutana na Dodoso la upangaji wa viwango vya ufaulu. Dodoso la Nimeona wakuu hayo madodoso.

Wizara imeweka mpaka alama 11 mwanafunzi akipata awe amefaulu mtihani wanataka wadau watoe maoni. Mfano wa maswali ni huo hapo


  1. Je, wewe ukiwa kama Mdau wa Elimu unafikiri ni utaratibu gani unaofaa wa upangaji wa Viwango vya Alama za za Mitihani ya K4 na K6 kati ya hizi zilizotajwa? (Weka Alama ya Vema (V) kwenye Kisanduku kilichopo chini ya katika chaguo lako)
UTARATIBU A
A = 81 – 100
B = 61 – 80
C = 41 – 60
D = 21 – 40
F = 0 - 20
UTARATIBU B
A = 80 – 100
B = 65 – 79
C = 50 – 64
D = 35 – 49
F = 0 – 34
UTARATIBU C
A+ = 91 – 100
A = 81 – 90
B+ = 71 - 80
B = 61 - 70
C+ = 51 – 60
C = 41 – 50
D+= 31 – 40
D = 21 – 30
E = 11 – 20
U = 0 – 10
UTARATIBU D

ZOTE HAZIFAI




Alama "U" maana yake ni "Ungraded" na alama hii itatumika kwa wale ambao wameshindwa kupata angalau alama 11.

Kwa maelezo zaidi tembelea
DODOSO LA UPANGAJI WA VIWANGO VYA ALAMA NA MATUMIZI YA ALAMA ENDELEVU YA MWANAFUNZI KATIKA MITIHANI

Je viwango hivyo ndiyo utekelezaji wa Big Results Now
 
Safi sana ndg. Tumake...

Hapa tumeelewa nini mleta uzi alikua anamaanisha.

Kwanza kabisa niipongeze wizara ya elimu kwa kuwashirikisha wadau wa elimu katika kuchangia kuinua elimu yetu inayozorota kila kukicha. Wasiishie kwenye upangaji wa alamu tu, bali waruhusu maoni mengine ya kuinua elimu ya TZ kutoka kwa wadau wa elimu na wanafunzi kwa ujumla wake..

Madani.....
Mimi napendekeza watumie hiyo 'C', kwani itaweza kuonesha kiwango halisi cha ufaulu mtahiniwa....

Swali;
Je utatofautishaje mtahiniwa mwenye A+ flat na mwenye A flat, wakati wote wana overall ya 1:7....?

Jibu;
Hapa nashauri grades zibadilishwe kutoka kwenye rating za mfumo wa division na kuwa katika mfumo wa (A+,A,B+,B,C+,C nk) wakati wa kuasses overall results.
 
Last edited by a moderator:
Hiyo B ndio iliyochinja vijana wa mwaka jana.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…