Graduate akimaliza chuo ndo anagundua amezaliwa upya

youngkato

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
3,811
Reaction score
3,888
Kumaliza chuo ni kuzaliwa upya, labda kama uliandaliwa mazingira na wazazi wako.

Mwanachuo ukifanikiwa kumaliza chuo usirudi nyumbani
 
Vita ni kubwa especially kwa wale ambao wanaamua kubaki kuendeleza maisha kwenye majiji makubwa mfano Dar ,kwa kweli ni kipimo tosha cha ukomavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…