Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
- Thread starter
-
- #101
Rafiki yangu ameenda mwezi wa tano baada ya maisha ya bongo kuwa magumu upande wake nilikua namtia moyo kila siku. Hivi navyokwambia yupo huko na maisha yake yamebadilika. Sio huyo tu kuna mwingine pia ameenda juzi sababu ni hiyohiyo juzi. Tatizo watanzania ni wavivu wa kuomba scholarships, scholarships zipo ni bure na watu kibao wanapata.Wanaenda kutalii, kufanya kazi, kufanya show, ku-volunteer, au kusoma? Maana application ya Visa zipo kwenye categories tofautofauti na si kila anaeenda huko anakibali cha kwenda kufanya makazi
Huko ulaya unaenda kwa ungo ama?Mchanganuo wa Nyaraka za zinazohitajika kwa anayetafuta Pasipoti ya Kusafiria Kwa Safari ya Ulaya na Kuweka Mipango ya Maisha.
Kabla ya kuanza safari yako ya Ulaya na kuanza hatua mpya ya maisha yako, unahitaji kuwa na nyaraka sahihi zinazohitajika wakati wa kuomba pasipoti ya kusafiria. Hizi ni nyaraka ambazo unaweza kuhitajika kuwasilisha ili kuhakikisha kuwa maombi yako ya pasipoti yanapokelewa. Nyaraka hizi ni kama ifuatavyo:
Ukiwa na nyaraka hizo, unaweza kuwa na uhakika kwamba maombi yako ya pasipoti ya kusafiria yatafanikiwa.
- Barua ya Uthibitisho kutoka kwa Afisa Mtendaji wa Kata/Mtaa kwa Mzazi/Mlezi Asiyeajiriwa: Barua hii inathibitisha uhusiano wako na mzazi/mlezi asiyeajiriwa na inaonyesha idhini yao kwa safari yako ya Ulaya. Inaweza kuhitajika kwa ajili ya kudhibitisha utambulisho wa familia yako.
- Barua ya Kujiunga na Shule/Chuo: Barua hii inaonyesha kuwa unakusudia kuendelea na elimu yako baada ya kuhitimu chuo. Inaonyesha nia yako ya kukuza elimu yako na inaweza kuwa na athari chanya katika maombi yako ya pasipoti.
- Cheti/Kiapo cha Kuzaliwa cha Mzazi wa Mwombaji: Cheti au kiapo cha kuzaliwa cha mzazi wako kinaweza kutumika kudhibitisha uhusiano wa kifamilia na mzazi wako. Ni sehemu muhimu ya nyaraka za kuthibitisha utambulisho wako.
- Cheti/Kiapo cha Kuzaliwa cha Mwombaji: Cheti au kiapo chako cha kuzaliwa kinathibitisha tarehe yako ya kuzaliwa na utambulisho wako binafsi. Ni nyaraka muhimu katika mchakato wa kuomba pasipoti.
- Kadi ya Mpiga Kura ya Mzazi/Mlezi: Kadi ya mpiga kura ya mzazi/mlezi inaweza kutumika kuthibitisha utambulisho wao na pia kuonyesha msaada wao kwa safari yako ya Ulaya.
- Barua ya Utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa/Afisa Mtendaji wa Kata: Barua hii inaonyesha utambulisho wako kutoka kwa mamlaka ya serikali ya mtaa au afisa mtendaji wa kata. Inaweza kuwa na athari nzuri katika kuthibitisha utambulisho wako.
- Kitambulisho cha Taifa cha Mzazi/Mlezi: Kitambulisho cha taifa cha mzazi/mlezi kinathibitisha utambulisho wao kama raia. Ni nyaraka muhimu kwa kudhibitisha uhusiano wa kifamilia.
- Vyeti vya Elimu (Shule/Chuo): Vyeti vya elimu vinavyothibitisha mafanikio yako ya kitaaluma katika shule au chuo. Vinaweza kuonyesha juhudi zako za kujifunza na uwezo wako wa kufikia malengo.
- Fomu ya Maombi ya Pasipoti: Fomu hii inayojazwa kwa usahihi na taarifa zote muhimu kuhusu maombi yako. Inapaswa kuwa kamili na sahihi ili kuhakikisha kuwa mchakato wako wa kuomba pasipoti unakwenda vizuri.
Hata usipo ingia Ulaya unaweza kuingia CHINA, US, SOUTH KOREA, INDIA kokote kapate exposure uje na ramani.
Kwa wale wanaotafuta scholarship:
1. Tafuta passport kwanza. Iscan ihifadhi kwa mfumo wa softcopy.
2. Andaa vyeti vyako vyote vya taaluma vicertify, scan vihifadhi kwa mfumo wa softcopy.
3. Andaa transcript zako zicertify, ziscan zihifadhi kwa mfumo wa softcopy.
4. Andaa recommendation/reference letters kutoka kwa professors/Drs
5. Andaa academic CV nzuri
6. Kisha anza kujaza form za scholarship usiku na mchana bila kuchoka.
Scholaship ni award kama award zingine anayeshinda ndio hupewa. Acha kuogopa. Watu huapply scholarship hadi 50 na kufanikiwa kupata moja ya kuingia US. au UK. Hivyo usiogope jiweke tayari maisha ya mafanikio ni vita. Scholarship sio TCU.
Mchanganuo wa Nyaraka za zinazohitajika kwa anayetafuta Pasipoti ya Kusafiria Kwa Safari ya Ulaya na Kuweka Mipango ya Maisha.

Tofauti ya visa, passport na hati yakusaifiria niipi mkuu,Ulaya sio matako wewe passport 300k unapata in two days lakini visa ni mtihani
Passport ndo hati ya ksafiria ambayo inakutambulisha ww ni wa nchi gani lkn visa ni kibari husikaTofauti ya visa, passport na hati yakusaifiria niipi mkuu,
Kibari chakukubaliwa nanchi unayotaka kwendaPassport ndo hati ya ksafiria ambayo inakutambulisha ww ni wa nchi gani lkn visa ni kibari husika
Passport ni 150K tu!!Ulaya sio matako wewe passport 300k unapata in two days lakini visa ni mtihani
Nikweli 150k lkn sisi wenye haraka tunatoa300k tuipate mapemaPassport ni 150K tu!!
Ukiwa serious haizi 7daysNikweli 150k lkn sisi wenye haraka tunatoa300k tuipate mapema
Utajuaje kama kaamua au hajaamua???Mungu akiamua jambo hata kama nauli huna unafika Ulaya mkuu. Lakini asipoamua hata Kenya huingii.