Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mambo ya chai na kubrowse achana nayo,me na assume wote wamenda field kujifunza na wote wanapga kazi,je ni nani atatoka bora zaidi?Labda ungebainisha field sehemu gani... kuna sahemu wanapiga kazi ukikaa mwezi mmoja unagain ile mbaya... alafu kuna sehemu una kaa miezi mitatu kazi unayofanya ni ku browse na ku supply chai...Alafu swali lako ni assumption au?? Nani kasema UDSM Field mwezi na nusu??Hio wameweka in the basis ya wale ma Dr/Proff wanaopita, but ukwelli ni kuainatakiwa more than huo mda...
mambo ya chai na kubrowse achana nayo,me na assume wote wamenda field kujifunza na wote wanapga kazi,je ni nani atatoka bora zaidi?
kufanya kitu kwa muda mrefu kunasaidia mtu kuwa na uelewa mkubwa zaidi,.mfano mtu mwenye experience ya miaka mitano kazini hawezi kuwa sawa na mwenye mwaka mmoja,me naona Mzumbe ni the bestswali lako alina uhalisia kwa maana ya mda wenyewe wa field,rekebisha afu upost tena.....ila kwa msaada wa haraka wanafunzi wa udsm always ni the best.
Me naona maoni yako yamekaa kinadharia zaidi,.mtu anaekifanyia kitu/au anaefanya kazi fulani kwa muda mrefu anakua bora zaidi ya yule ambaye amefanya kwa muda mfupi,na mtu anapokaa kwenye kazi kwa muda mrefu anapata nafasi ya kujifunza vitu vipya kuliko yule alieka kwa mwezi na nusuNdugu,Mwanafunzi anapoenda kwenye kazi kwa vitendo aidha maofisini au viwandani,ni ili afundishwe jinsi ya kufanya kazi,hapo hakuna aliye bora kwa mwenzake,baada ya kumaliza kazi kwa vitendo na kufanyiwa taathmini na wasimamizi wake kwa kutumia vigezo vilivyo wekwa ndio unaweza kuhukumu kuwa yupi ni bora kuliko mwingine kwa njia ya kusoma ripoti/taarifa zao walizo andika,Vinginevyo muda sio kigezo cha kupima ubora,kama ni muda tungesema wale wanafunzi wanaosoma digrii zao kwa miaka mitano ni bora kuliko wale wanaosoma miaka mitatu,Kwa hiyo cha msingi hapa ni kujiuliza kuwa mwanafunzi alipokuwa field je aliweza kufikia malengo yake.
mzumbe kozi gani,maana ukitoa law na education,wengine hawaendi field miezi 3-ni almost miez 4-na mtu akiamua anaweza kuwahi kuanza field akafanya zaid ya miez 5Graduate yupi bora kati ya huyu wa Mzumbe alienda field miezi 3,na huyu wa UDSM alienda field mwezi 1 na nusu,.,naomba msinishambulie mimi bali mshambulie thread,nawasilisha.
Where you are ! that's a point! And must be born again. All of you say "BE BORN AGAIN."Graduate bora atajulikana mara baada ya kumaliza masomo yake atakapoanza kutumia elimu aliyoipata katika maisha halisi na kuweza kutoa mazao yakuleta faida katika taasisi anayoifanyia kazi na jamii inayomzunguka kwa ujumla.
Graduate yupi bora kati ya huyu wa Mzumbe alienda field miezi 3,na huyu wa UDSM alienda field mwezi 1 na nusu,.,naomba msinishambulie mimi bali mshambulie thread,nawasilisha.
there's a point in here! Kiukweli kabisaGraduate bora atajulikana mara baada ya kumaliza masomo yake atakapoanza kutumia elimu aliyoipata katika maisha halisi na kuweza kutoa mazao yakuleta faida katika taasisi anayoifanyia kazi na jamii inayomzunguka kwa ujumla.