Graduates from UDSM tunaua nchi

Graduates from UDSM tunaua nchi

RUTUBA

Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
66
Reaction score
17
Maskendo yote ya ufisadi serikalin yanaratibwa na graduates from udsm for more than 90%

hebu tubadilike jamani

EPA, Escrow Tegeta...

Ni mifano tu.

Na inazimwa na wanasheria graduates wa udsm.

Hivi hatufundishwi maadili?
 
Sasa wazee walioko kwenye system unategemea wangesoma chuo gani katika miaka yao ya 1970's si chuo kilikuwa kimoja tu?
 
Maskendo yote ya ufisadi serikalin yanaratibwa na graduates from udsm for more than 90%

hebu tubadilike jamani

EPA, Escrow Tegeta...

Ni mifano tu.

Na inazimwa na wanasheria graduates wa udsm.

Hivi hatufundishwi maadili?

hii ni pure generalization ambayo conclusion yake ni ndogo
 
Tatizo hapa sio UDSM ni system iliyojengwa huko kwenye uongozi na tabia ya mtu mwenyewe, nadhani kwa sababu viongoz wengi wamepita UDSM ndo maana unaona hvyo.
 
kima wewe,kuna chuo kinachofundisha ufisadi hapa ulimwenguni?

pery. Polepole. Ukimwelekeza kwa utaratibu ataelewa sasa hivi. Phrase ya mwisha kwenye sentensi ndio inastahili na kamwe hawezi jibu.
 
Back
Top Bottom