Maskendo yote ya ufisadi serikalin yanaratibwa na graduates from udsm for more than 90%
hebu tubadilike jamani
EPA, Escrow Tegeta...
Ni mifano tu.
Na inazimwa na wanasheria graduates wa udsm.
Hivi hatufundishwi maadili?

kima wewe,kuna chuo kinachofundisha ufisadi hapa ulimwenguni?
Enzi zao hao mafisadi chuo kilikuwa ni kmoja tu.. UDSM!