Graduates: Kuna cha kujifunza hapa, nilianza na laki 3 sasa nina mtaji wa laki 8 ndani ya miezi 10

Graduates: Kuna cha kujifunza hapa, nilianza na laki 3 sasa nina mtaji wa laki 8 ndani ya miezi 10

Blessed Son

Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
34
Reaction score
23
Baada ya kumaliza chuo niliamua kufungua biashara kutokana na changamoto za ajira,nikafungua biashara ya duka dogo kwa mtaji wa laki 3,nilianza na vitu vichache sana lakini muhimu kwa wateja kama vile mchele,unga,sukari,maharage,na bidhaa nyingne.

Nakumbka siku ya kwanza mauzo yalikuwa elfu nne(4) tu,sikukata tamaa,kikubwa nlikuwa nahitaj kukuza mtaji tu hata kama faida siioni kwa wakati huo.

Nilikuwa nawauliza wateja wanatka vitu gani viwepo nikawa naweka kutokana na mahitaji yao,nilianza Novemba 2014 na mpaka sasa mtaji umefikia laki 8 na mauzo hadi elfu 60 kwa siku,nahisi nimeanza kujiajiri.

Kikubwa kumtanguliza MUNGU kwa kila jambo.

Nawasilisha!!
 
Hongera mkuu! Uvumilivu hulipa.....jitahidi kuongeza juhudi ufikie malengo yako.
 
Ongera ila ulipo weka biashala yko amna wachawi ila bdo safari ndefu ujue[/QUOT

Lengo ni kutoa ushauri tu kwa graduates wnzangu ili hata kma tunasubiri kuajiriwa tuwe na cha kufanya,na ukiamini ktk uchawi hutofanya chochote ktk dunia hii

Aya kaka ila hyo capital kuipata ishu ujue me sikufichi nimesomea ujasilimia mali kwa sisi masikini bdo sana
 
Tanzanian-Proverb-Quote.jpg​
 
Laki 3 ?.. ulilipaje frem ya biashara, ukarabati, mahitaji muhimu kama mizani e.t.c nifafanulie kidogo mkuu labda na mie ntavutika.
 
Mimi naamni wewe ni mjasiriamali kwa kuzaliwa,sio kwa sababu ya hiyo elimu yako..maana wasomi wengi wanadharau kuanzia chini..they usualy aim higher ambapo mwisho wa siku wanishia kupata stress tu..

And I can assure you,utakuja kufanikiwa hadi ushangae mwenyewe..I'm talking from my experience..

Kweli mkuu umenena vema!!.
 
Hongera sana miaka mitatu ijayo utakuwa na zaidi ya milioni kadhaa
 
By jonnie_vincy
Laki 3 ?.. ulilipaje frem ya biashara,
ukarabati, mahitaji muhimu kama
mizani e.t.c nifafanulie kidogo
mkuu labda na mie ntavutika.

Kwa bahati fremu ilikwepo,mzani nlinunua kwa elfu 70 tu na ndo kilikuwa kitu cha muhimu kwa wakati huo,mchele kilo 50 ni elfu 70 tu wakat huo,maharage kilo 50 ni 85000,kiroba cha sukari 25kg elfu 40 nikaongeza na vingine vichache bac nkaanza
 
Mimi naamni wewe ni mjasiriamali kwa kuzaliwa,sio kwa sababu ya hiyo elimu yako..maana wasomi wengi wanadharau kuanzia chini..they usualy aim higher ambapo mwisho wa siku wanishia kupata stress tu..

And I can assure you,utakuja kufanikiwa hadi ushangae mwenyewe..I'm talking from my experience..

Nmekupenda bure Una bonge la mtazamo mimi nilianzaga na 50 tshs nkapandisha mpaka Kilo tano kabla ya kupata mchongo ukimaliza shule unakuwa na stress sana b4 nilichekwa sana na kuonewa huruma bt now nna Mke na mtoto wa kiume so asikate tamaa sasa hivi nmekuwa tegemeo
 
Ongera ila ulipo weka biashala yko amna wachawi ila bdo safari ndefu ujue[/QUOT

Lengo ni kutoa ushauri tu kwa graduates wnzangu ili hata kma tunasubiri kuajiriwa tuwe na cha kufanya,na ukiamini ktk uchawi hutofanya chochote ktk dunia hii

Umemjibu vyema sana mkuu... Na hongera sana... Umeonyesha moyo wa kuwahamasisha wengine... Hao waswahili wanawaza matatizo na kushindwa muda wote wapuuzie tu
 
Back
Top Bottom