Meja mstaafu
JF-Expert Member
- Jul 17, 2017
- 531
- 1,121
Habari zenu ndugu zangu,
Katika tafiti zangu zisizo rasmi, nimegundua kizazi kinacholalamika kuhusu ajira, naongelea degree holders ni waliomaliza kidato cha nne mwaka 2010 na kurudi chini. Na ukiangalia kwa kina kipindi hicho ufaulu wa kidato cha nne ulikuwa ni chini ya asilimia 11. But kuanzia miaka ya 2013 BRN ilipoanzishwa kumekuwa na ufauru mkubwa sana wa kidato cha nne na kuendelea.
Hivyo basi kaa ukijua wasomi wanaongezeka kwa kasi sana na hakuna haja ya kulalamika kwamba serikali haitoi ajira, manake hata ikitoa bado hazitoshi na kupata ni probability. Hivyo basi ndugu zanguni tuanze kutumia elimu zetu na utashi tulio nao katika kutumia fursa zinazotuzunguka kama kilimo, ujasiriamali ili kujiletea maendeleo.
AHSANTENI.