Ila tusifiche na mimi nimekuwa nikichukua mabinti wa IFM several times ni wazuri katika utendaji wao wa kazi.Nimekua nikiajiri graduates kutoka vyuo mbalimbali kwa muda sasa. Navutiwa na utendaji kazi wa graduates wa IFM. Je kwanini hicho chuo akipandishwi kuwa university?
sikubaliani nawe! kwanza ni wezi,pili utamkuta ana-upper second lakini hawana uwezo wa ku-think strategically, ni watu wanaopenda kujikweza sana. hawajui kazi kabisa, they don't want to work under presure .....pia wanapenda sana wapewe chance za kusafiri sana kuliko wengine.