Graduates wa kisasa kukaa home.. Kodi gharama au allergy ya kujitegemea?


yaani huo ni uvivu wa akili, halafu wanawake wanaongoza kwa kukomalia homu. Choo unataka akusafishie nani? Ndio utajua maisha yakoje. Nikuendeleza utoto uzeeni. Na wengine wanazalia hapohapo home. Familia ndani ya familia?
 
Dah! Kazi ipo hapa!! Its true kuna wengine wanabahati wazee wana majumba ambayo kiukweli ni mali ya mzee kiasi kwamba kwenda kutafuta chumba kwingine bora umuungishe mzee....lakini kuna hawa vijana ambao wapo kwa dada/shemeji, shangazi, bamdogo/bamkubwa n.k nao wanang'ang'ania hapo! Face challenges ili upate akili dogo....ohhoo!
 
akili ya kujenga niliipata baada ya kupanga sinza.....unalipia nyumba kama unanunua mgodi???thanks God niko kwangu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…